SYRIA: NATO KUJADILI KUIMARISHA ULINZI

SYRIA: NATO KUJADILI KUIMARISHA ULINZI

Like
198
0
Thursday, 08 October 2015
Global News

MAWAZIRI wa ulinzi wa  Jumuiya ya kujihami ya Nato leo wanajiandaa kujadili iwapo waimarishe ulinzi wa kanda ya kusini ya  ushirika huo wa kijeshi, kutokana na wasiwasi nchini Syria, baada ya  kujiingiza kwa Urusi  katika mgogoro huo hivi karibuni.

Kabla ya mkutano huo mjini Brussels, Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg alisema makanda wa kijeshi wamethibitisha kwamba jumuiya hiyo inauwezo na miundo mbinu inayohitajika kuliweka jeshi lake upande wa kusini na kubakia eneo hilo.

Comments are closed.