T.I AMALIZA BIFU KATI YA SNOOP NA IGGY AZALEA

T.I AMALIZA BIFU KATI YA SNOOP NA IGGY AZALEA

Like
412
0
Thursday, 16 October 2014
Entertanment

Hivi karibuni moja kati ya stori zilizokuwa zikichukua headlines kwenye mitandao na vyombo vya habari ni tukio la mtu mzima Snoop kupost picha ya mremavu wa ngozi kwenye ukurasa wake wa instagram na kuweka Caption ya maneno yasemayo  “Iggy Azalea no make up,” maneno ambayo yalimtibua Iggy Azalea na mashabiki zake kiasi cha kuwafanya waanze kumjibu vibaya Snoop.

lakini kwa sasa hakutakuwa na tatizo tena mara baada ya wasanii hao kupatanishwa kufuatia simu ya meneja wa Iggy Azalea yani T.I kwa Snoop kumtaka wamalize tofauti zao kitendo ambacho Snoop alikipokea mara moja bila utata na baadae akasema maneno haya yakuomba radhi kwenye mtandao kwa kupost kipande cha video yenye maneno haya “No more bad talk. I apologize. I won’t do it again.”
na Iggy pia kwa upande wake alipokea msamaha huo kwenye twitter

iggg

Comments are closed.