atretical madrid

Hawa ndio Atletico Madrid, Wabeba Kombe la Europa League kwa kishindo, baada ya kuwafunga Marseille 3-0
Sports

Antoine Griezmann alifunga mabao mawili na kuwawezesha Atletico Madrid kuwachapa Marseille 3-0 mjini Lyon, Ufaransa na kushinda Kombe la Europa League mara yao ya tatu katika kipindi cha miaka tisa. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa alianza kwa kufunga dakika ya 21 na kisha akafunga la pili dakika ya 49. Nahodha wao Gabi alifunga bao la tatu dakika ya 89 na kuwawezesha vijana hao wa Madrid kushinda kombe hilo ambalo pia walilitwaa miaka 2010 na 2012. Matokeo yangelikuwa tofauti iwapo...

Like
502
0
Thursday, 17 May 2018