azam media

Azam Media  Yakanusha Kutorusha Mubashara Mechi za Ligi Kuu
Sports

Uongozi wa Azam Media kupitia Mkurugenzi wake, Tido Mhando, umeibuka na kukanusha taarifa zilizoelezwa kuwa hawatoonesha mechi za Ligi Kuu Bara msimu ujao. Mhando amefunguka na kueleza kuwa taarifa zilizosambaa katika mitandao mbalimbali zikieleza kuwa Azam haitorusha mbashara mechi za ligi msimu wa 2018/19 si za kweli. Mkurugenzi huyo ameeleza kuwa Azam bado wana misimu mitatu hivyo mkataba wao utakapomalizika watakuwa tayari kufanya mazungumzo mengine ya kuongeza lakini si kweli kuhusiana na yaliyoripotiwa jana. Ikumbukwe Azam Media...

Like
1100
0
Wednesday, 18 July 2018