azam vs mtibwa

Mtibwa Sugar Wawapania Azam, Kombe la FA
Sports

Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuberi Katwila amejipambanua na amesema wamejiandaa vizuri kuhakikisha leo lazima wawafunge Azam FC na kutinga hatua ya Nusu Fainali Kombe la FA. Mtibwa Sugar inacheza mechi ya robo fainali ya Kombe la FA kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam na Katwila anaamini wamejiandaa hasa. “Azam wana timu nzuri lakini kweli tumejiandaa sana na tuko Dar es Salaam kutafuta matokeo ya mechi hiyo,” alisema. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na...

Like
389
0
Saturday, 31 March 2018