Bunda

Lukuvi aanza na bibi aliyemlilia Maguful
Local News

Kilio cha Nyasasi Masige, mkazi wa Bunda mkoani Mara mbele ya Rais John Mgufuli kuhusu kuwapo kwa njama za kudhulumiwa ardhi yake, kimezaa matunda baada ya waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kutua wilayani humo na kumaliza mgogoro huo. Waziri Lukuvi anayetembelea Mkoa wa Mara kutatua migogoro ya ardhi na kutekeleza agizo la Rais Magufuli, jana aliwaagiza watendaji wa idara ya ardhi mkoani humo kushirikiana na wenzao wa Halmashauri ya Mji wa Bunda kupima upya eneo...

Like
733
0
Tuesday, 18 September 2018