cecafa

Yanga Yakubaliwa Ombi la Kujitoa Kagame, Nafasi yake Imechukuliwa na Vipers ya Uganda
Sports

Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limekubali maombi ya Yanga kujiondoa katika mashindano ya KAGAME baada ya kutuma barua iliyoeleza kuomba kujitoa Yanga ilituma barua kupitia TFF ikiomba kujiondoa ili kuwapa nafasi wachezaji wake mapumziko kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Gor Mahia FC ya Kenya. Barua hiyo ilieleza kuwa ratiba ya michuano imekuwa si rafiki kwao na itakuwa inawabana sababu wanapaswa kuwajibika kwenye mashindano ya shirikisho pia wachezaji wake wengi...

Like
490
0
Friday, 15 June 2018