chadema

Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale
Local News

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na mapanga na watu wasiojulikana kwa kile kilichodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi.     Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Agustino Senga amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa shambulio hilo limetokea jana Juni 18, 2018 katika Kitongoji cha Waloa wakati mwenyekiti huyo akiwa kazini pamoja na wajumbe wa Serikali ya Kijiji.   Kamanda Senga amesema kuwa Lala ameshambuliwa...

Like
488
0
Tuesday, 19 June 2018