CHELSEA

Chelsea yaifuata Manchester United Nusu fainali -FA CUP
Sports

Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili ,Wigan Athletic waliondoshwa na Southampton katika michuano hiyo kwa kichapo cha bao 2-0 , huku Chelsea wakichomoza na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Leceister city kwa magoli ya Alvaro Morata na Pedro Eliezer Rodríguez akifunga katika muda wa nyongeza baada ya dakika 90 za mchezo kumalizika Kwa matokeo hayo Southampton na Chelsea zinaungana na Manchester United na Tottenham katika hatua ya nusu fainali,ambapo Chelsea...

Like
475
0
Monday, 19 March 2018