dida

Deogratius Munishi ‘Dida’:  Sina Mpango Kurudi Kucheza Soka Bongo
Sports

KIPA wa zamani wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kurejea kucheza tena nchini katika timu yoyote ya Ligi Kuu Bara ikiwemo Yanga kwa kuwa anataka kufika mbali zaidi katika upande wa soka la kulipwa.   Dida ambaye anacheza katika Klabu ya Chuo Kikuu cha Pretoria ‘Tucks FC’ inayo­shiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Afrika Kusini, amekuwa akihusishwa kurejea nchini kujiunga na timu yake hiyo ya za­mani ambayo kwa sasa ipo kwenye wakati mgumu wa kiuchumi....

Like
797
0
Monday, 04 June 2018