DONALD TRUMP

Trump arudi nyuma katika sera yake ya kuzitenganisha familia
Global News

Rais Donald Trump wa Marekani amesitisha sera yake uhamiaji iliyokuwa inalazimu kuzitenganisha familia za wahamiaji wanaobainika kuvuka mipaka kinyume cha sheria na watoto wao. Pamoja na kulegeza msimamo huo kutokana na kulalamikiwa kwa sera hiyo ndani na nje ya taifa hilo, Trump amesisitiza kwamba bado ataendelea kuilinda mipaka yake. Rais Trump ambaye tangu kuingia kwake madarakani alionekana kuhitaji sheria kali zaidi ya kukomesha suala la uhamiaji haramu, amejikuta matatani, safari na hasa baada ya picha zenye mguso za watoto...

Like
431
0
Thursday, 21 June 2018
RAIS TRUMP AWATUMIA SALAAM ZA MWEZI MTUKUFU WAISLAM WASHIO MAREKANI
Global News

Rais wa Marekani, Donald Trump ametuma ujumbe kwa Waislamu wote nchini Marekani na kwingineko duniani kwa kuadhimisha kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na White House, wakati ambapo watu wengi wanaungana pamoja kusherehekea mwezi mtukufu wa Ramadhan, Rais Trump na mkewe Melania wana matumaini kuwa mwezi huu utakuwa wa baraka. Taarifa imesema kuwa Marekani imebarikiwa kuishi kwa mujibu wa katiba ambayo inaheshimu uhuru wa dini na inaheshimu uhuru wa kuabudu wa kila mwananchi. Katiba yetu...

Like
535
0
Thursday, 17 May 2018
UNAJUA USAFIRI ANAOTUMIA RAIS WA MAREKANI DONALD TRUMP AKIWA MATEMBEZINI?
Global News

  Rais wa Marekani Donald Trump akiwa katika mazingira ya kawaida ya kikazi hutembelea gari aina ya limousine. Gari hiyo ni moja kati ya magari ghali zaidi na yenye ulinzi mkali zaidi duniani kote ulinzi wake ni pamoja na vioo vyenye nguvu ya kuzuwia risasi, milango yake ina uzito sawa na milango ya ndege aina ya boeng 747, ikiwa itatokea janga la  moto tank la mafuta ya gari hiyo limefunikwa na vyuma kiasi hata mlipuko wa bomu hauwezi lipua tenki...

1
467
0
Wednesday, 14 March 2018
DONALD TRUMP AMFUKUZA KAZI WAZIRI WAKE WA MAMBO YA NJE
Global News

Rais Donald Trump amemfukuza kazi waziri wake wa mambo ya nchi za nje Rex Tillerson na kumchagua mkurugenzi wa idara ya ujasusi ya CIA, Mike Pompeo kuchua nafasi yake. Nafasi ya Pompeo katika CIA itachukuliwa na aliyekua naibu wake Gina Haspel. Katika ujumbe wa twitter, Rais Trump alimshukuru Tillerson akisema, “Mike Pompeo, Mkurugenzi wa CIA atakua waziri mpya wa mambo ya kigeni. Atafanya kazi nzuri kabisa. Ahsante Rex Tillerson kwa huduma yako! Gina Haspel atakua mkurugeni mpya wa CIA na...

Like
357
0
Tuesday, 13 March 2018