Erdogan

Erdogan ashinda muhula wa pili wa urais Uturuki
Global News

Tume ya uchaguzi nchini Uturuki imemtangaza Rais Recep Tayyip Erdogan kama mshindi wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika June 24. Erdogan ambaye aliingia madarakani 2014 ameshinda muhula wake wa pili kwa ailimia 53 ya kura zote zilizohesabiwa akiepuka kuingia mzunguko wa pili huku chama chake kikishinda wingi wa viti bungeni. Mpinzani wake mkuu Muharrem Ince kutoka chama cha CHP tayari amempongeza Erdogan katika mitandao ya kijamii licha ya kushutumu uchaguzi huo kuwa haukuwa wa haki. Muda mfupi kabla...

Like
382
0
Monday, 25 June 2018