eu

EU yaongeza ushuru kwa bidhaa kutoka Marekani
Global News

Jumuiya ya Ulaya EU imeanzisha ongezeko jipya la tozo kwa bidha zinazotoka Marekani kama hatua ya kulipa kisasi dhidi ya sera ya kibiashara ya Rais Trump iliyotangaza ongezeko tozo ya uingizwaji wa bidhaa za chuma na bati nchini humo. Ongezeko hilo jipya la tozo lililotangazwa na EU linazilenga bidhaa za Marekani kama vile vinywaji vikali,Pikipiki zinzotengenezwa Marekani pamoja na maji ya matunda ya machungwa. Ongezeko hili la tozo mpya ya EU kama hatua ya kujibu mapigo dhidi ya Marekani dhidi...

Like
479
0
Friday, 22 June 2018