fifa

Fifa nayo yaishukia Gor Mahia
Slider

NI taabu tupu kwenye ngome ya Gor Mahia kwani baada ya kuandamwa na Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru (KRA) kwa kutokulipa ushuru wa Sh118 milioni, sasa iko hatarini kufungiwa na Fifa kusajili wachezaji. Kwa wiki chache zilizopita, mambo hayajawa mazuri kwa mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Kenya ambao wamefilisika na kwa sasa wanawategemea mashabiki wao kutoa mchango ili kuwanusuru na janga la kifedha. Huku hayo yakizidi kuwaumiza kichwa, Fifa ambalo ni shirikisho la kimataifa la vyama vya soka, imetishia kuwashushia...

Like
394
0
Monday, 12 May 2014