Haji Manara

HAJI MANAR AKATAA SIMBA NA YANGA KUITWA MAHASIMU
Sports

Ofisa Habari wa Simba SC, Haji Manara, amewakataza Wanahabari kutumia neno MAHASIMU badala ya WATANI pindi wanapotangaza na kuziandika klabu hizo. Manara ameeleza kuwa Simba na Yanga si mahasimu bali ni watani wa jadi, tofauti na baadhi ya vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikiripoti tofauti. Manara ameyasema hayo leo alipotisha kikao na Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Simba, yaliyopo Kariakoo. Ofisa huyo wa Habari, amesema neno hilo lina maana mbaya ambayo ni VITA hivyo halipaswi kutumika huku akieleza...

Like
917
0
Friday, 27 April 2018