harusi

Mwanamume afunga ndoa na wanawake wawili wakati mmoja
Global News

Kijana mmoja raia wa Somalia ambaye alioa wanawake wawili usiku mmoja amesema kwamba atawashawishi wanaume wengine kufanya hivyo. Bashir Mohamed anasema kuwa aliwachumbia wanawake wote kwa takriban miezi minane na kuwashawishi kufunga ndoa naye. ”Nilikuwa nikiwaleta nyumbaji wote pamoja”, alisema. ”Nilikuwa nikiwaambia wazi wote wawili kwamba nawapenda. Waliridhika” , aliongezea. ”Umuhimu wa kuwaoa wote wawili wakati mmoja ni kwamba hawangekuwa na wivu na kwamba watajua tangu awali kwamba wamekuwa katika ndoa za...

Like
433
0
Tuesday, 26 June 2018
Ndoa ya Mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ Hatari
Entertanment

Prince Harry na mchumba wake Meghan Markle. MAMILIONI ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya mjukuu wa Malkia wa Uingereza, Henry Charles Albert David ‘Prince Harry’ na mwigizaji maarufu wa Marekani, Meghan Markle. Harry akiwasalimia mamia ya watu waliofika kushuhudia ndoa yake.   Harry ni mtoto wa Prince Charles wa Uingereza ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili. Prince Charles ambaye ndiye mfalme-mtarajiwa, anajulikana pia kama Prince of Wales. Ndoa hiyo inatarajiwa kufungwa katika Kasri...

Like
2226
0
Saturday, 19 May 2018