iniesta

Andres Iniesta Atandika Daluga Barcelona
Sports

Andres Iniesta amekamilisha huduma yake ya kuichezea Barcelona katika mechi ambayo Barcelona imewaadhibu Real Sociedad wakati wa mechi za mwisho za La Liga. Iniesta ameagwa kishujaa kwani mashabiki waliunda maandishi ya kumuaga, uwanja ukawashwa taa maalumu kwa ajili yake na akajitokeza machozi yakimtoka akasema, nilifika hapa nikiwa mtoto sasa ninaondoka nikiwa mwanaume, nitawaweka katika moyo wangu milele. Sherehe za kumuaga zimefana na kuwaacha hata wachezaji wenzake akiwemo Messi wakibubujikwa na machozi huku mashabiki wakiwasha taa za...

1
577
0
Monday, 21 May 2018