Jaji Mkuu

JAJI MKUU AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KATIKA KIWANJA CHA MAHAKAMA-DODOMA
Local News

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa upandaji miti, kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi, kushoto ni Mhe. Ferdinand Wambali,Jaji Kiongozi Mahakama Kuu ya Tanzania. Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Juma akipanda mti wake. Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akipanda mti. Watumishi na Wadau mbalimbali nao walishiriki katika zoezi la kupanda miti.    Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe.Prof. Palamagamba Kabudi akizungumza...

Like
590
0
Friday, 27 April 2018