JELA

Waziri wa Nishati Ahukumiwa Jela Miaka Minne kwa Rushwa
Slider

WAZIRI wa zamani wa Nishati wa Zimbabwe, Samuel Undenge, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa ya rushwa Waziri huyo aliyefanya kazi kipindi ya Rais Robert Mugabe amekuwa kiongozi wa kwanza kuhukumiwa tangu kiongozi huyo aondolewe madarakani ambapo alituhumiwa kusaini mikataba na kuzilipa kampuni ambazo hazikuwahi kufanya kazi (kampuni hewa) ikiwemo Zimbabwe Power Company (ZPC) kiasi cha dola za Marekani 12,650, (sawa na Tsh. Milioni 28.6) mwaka 2016. Aidha, wakili wa Undenge amesema atakata...

Like
399
0
Monday, 23 July 2018