kagame cup

Azam Yafanikiwa Kutetea Ubingwa Kombe la Kagame Yaitandika Simba 2-1
Sports

AZAM FC imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Kombe la Kagame baada ya jana Ijumaa kuifunga Simba mabao 2-1 katika mchezo wa fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar. Katika mchezo huo ulioanza majira ya saa 12 jioni, Azam ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya 32 kupitia kwa Shaban Idd Chilunda aliyeunganisha kwa kichwa mpira wa kona uliopigwa na Ramadhani Singano ‘Messi’. Simba ilisubiri mpaka dakika ya 62 kusawazisha bao hilo ambapo straika wake mpya, Meddie Kagere alifunga bao hilo...

Like
1033
0
Saturday, 14 July 2018