kiba

ALIKIBA AANZA KAZI COASTAL UNION
Sports

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Costal Union ya Tanga, Ali Kiba, ameanza kujinoa na wachezaji wa kikosi hicho huko Tanga tayari kwa msimu mpya wa ligi utakaoanza Agosti 22 2018. Kiba ambaye pia ni Msanii wa Kimataifa kupitia Muziki wa kizazi kipya, ameanza kambi hiyo baada ya kujiunga na Coastal akisaini mkataba wa mwaka mmoja. Nyota huyo amekuwa gumzo kubwa ndani ya jiji la Tanga na kwa mashabiki na wanachama wa Costal kutokana na usajili wa Kiba ambao haukutarajiwa na...

Like
935
0
Saturday, 04 August 2018
Wachambuzi wa Soka Wasema Alikiba Anaweza Kucheza Ulaya
Sports

Baadhi ya Wachambuzi wa Soka nchini akiwemo kocha  wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo  amesema msa­nii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza Ligi Kuu Bara, na kama aki­andaliwa vizuri anaweza kucheza hata Ulaya.   Julio ameyasema hayo akiwa kocha wa Team Sa­matta mara baada ya kum­alizika kwa mchezo maalum wa kuchangia elimu ulio­andaliwa na msanii huyo akishirikiana na Mbwana Samatta anayecheza soka la kulipwa katika Klabu ya Genk nchini Ubelgiji. Katika mchezo huo...

Like
842
0
Sunday, 10 June 2018