Kocha Patrick

Mambo Yakienda Vizuri, Patrick Aussems Kocha Mkuu Simba
Sports

Kama mambo yatakwenda sawa, Kocha Patrick Aussems atasaini mkataba leo kuanza kuinoa Simba. Aussems raia wa Ubelgiji tayari yuko nchini akiendelea na mazungumzo na Simba. Jana alikuwa uwanjani kuishuhudia Simba ikiivaa Singida United katika mechi ya michuano ya Kombe la Kagame. “Kweli kocha yuko nchini na kama mambo yatakwenda vizuri basi atasaini kati ya leo au kesho. Tayari ameiona timu ikicheza dhidi ya Singida United. Amekuwa na maoni yake ingawa hajazungumza sana,” kilieleza chanzo Aussems mwenye umri wa miaka 51...

1
1109
0
Friday, 06 July 2018