lugumi

Lugumi Aitikia Wito wa Kangi Lugola
Local News

Mmiliki wa kampuni ya Lugumi, Said Lugumi leo asubuhi Jumanne Julai 31, 2018 amejisalimisha katika ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam kuitikia wito wa waziri wa wizara hiyo, Kangi Lugola. Julai 21, 2018 Lugola alimpa siku 10 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro kumfikisha Lugumi ofisini kwake ifikapo leo, saa 2 asubuhi. Siku hiyo, Lugola alisema kampuni ya Lugumi ilipewa zabuni ya kufunga vifaa vya utambuzi wa alama za vidole kwenye baadhi...

Like
545
0
Tuesday, 31 July 2018