mafuriko

Watu 40 wauawa kwenye mafuriko Nigeria
Global News

Takriban watu 40 wamefariki dunia kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua nyingi katika jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria. Maafisa nchini humo wamesema mafuriko hayo yametokea katika eneo lililompakani na Niger. Miili 22 tayari imezikwa na mingine 18 imerejeshwa kutoka Niger, ambako miili hiyo ilisombwa na maji. Mvua iliyonyesha siku ya Jumapili usiku na kunyesha mfululizo kwa saa nne, ilisababisha mafuriko makubwa katika mji wa Jibia. Mafuriko hayo pia yalisababisha mto ulioko jirani na eneo hilo kuvunja kingo zake na maji...

Like
378
0
Tuesday, 17 July 2018