magufuli

Rais Dkt Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPB
Local News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB). Uteuzi wa Dkt. Mndolwa umeanza leo tarehe 23 Aprili, 2018. Dkt. Mndolwa anachukua nafasi ya Prof. Lettice Rutashobya ambaye amemaliza muda wake. Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dodoma 23 Aprili, 2018...

Like
517
0
Monday, 23 April 2018
Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Mwenyekiti wa NHC na Kuvunja Bodi ya NHC
Global News

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation – NHC) Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018. Pia Mhe. Rais Magufuli ameivunja Bodi ya NHC kuanzia leo. Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye. Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dar es Salaam 21 Machi,...

Like
413
0
Wednesday, 21 March 2018