maji marefu

MAJIMAREFU KUAGWA KESHO DAR, NA KUZIKWA ALHAMISI YA TAREHE 5/07/2018, KOROGWE, TANGA
Local News

Aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu enzi za Uhai wake. Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani maarufu kama Profesa Maji Marefu, utaagwa kesho Julai 4, 2018 na baadaye mwili kusafirishwa kuelekea jimboni kwake Korogwe kwa ajili ya maziko Julai 5,2018. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Korogwe mkoani Tanga Hillary Ngonyani ambaye ni Msemaji wa Familia (kaka wa marehemu) kesho Julai 4,2018 mwili utaagwa kwenye viwanja vya Bunge la kwanza la...

Like
575
0
Tuesday, 03 July 2018