makonda

RC MAKONDA AVIWEZESHA KIUCHUMI VIKUNDI VYA JOGGING KWA KUVIPATIA MITAJI
Local News

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo ameanza rasmi mpango wa kuviwezesha kiuchumi vilabu vya Jogging kwa kuvipatia mitaji ya kuwezesha kuanzisha miradi ya kujikwamua kiuchumi. Akizungumza wakati wa Bonanza la Vilabu vya Jogging Dar es salaam RC Makonda ameanza kwa kukabidhi kitita cha zawadi ya shilingi milioni 10 kwa washindi wa makundi mbalimbali pamoja na kuahidi kukabidhi shilingi Million Saba kwa chama cha Jogging Temeke ili waweze kuwa na SACOS yao endapo atajiridhisha kuwa wamekidhi...

Like
580
0
Sunday, 12 August 2018
MAKONDA NA MKEWE WAPATA MTOTO WA KIUME
Local News

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na mkewe wamefanikiwa kupata Mtoto wa kiume, ambaye wamempa jina la Keagan.   Kupitia katika Ukurasa wake wa Instagram, Makonda amemshukuru Mungu kwa zawadi hiyo ya pekee na kuandika “Mungu wewe ni waajabu tena unatenda kwa wakati wako. Asante kwa zawadi ya mtoto wa kiume, Keagan P...

Like
664
0
Tuesday, 17 July 2018