mamadou

RAIS WA MALI AMTAKA ALIYEMWOKOA MTOTO UFARANSA ARUDI NYUMBANI
Global News

RAIS wa Mali, Ibrahim Boubacar Keïta amemtaka kijana shujaa, mhamiaji kutoka nchini kwake, Mamoudou Gassama aliyemwokoa mtoto mdogo aliyekuwa amening’inia kwenye kibaraza cha ghorofa ya nne katika jengo refu jijini Paris, Ufaransa arudi nyumbani kwani amemwandalia kazi Jeshini.   Balozi wa Mali nchini Ufaransa, Toumani Djimé Diallo akizungumza na kijana huyo katika ofisi za ubalozi wa nchi hiyo na kumpa pongezi kutoka kwa rais wa Mali, maemwambia kuwa Rais anamtaka arudi nyumbani kwao Mali amemwandalia nafasi ya kazi katika Jeshi la...

Like
635
0
Wednesday, 30 May 2018