Mandela

Dola 250,00 Kulala Gereza Alimofungwa Mandela
Global News

Mnada unafanyika nchini Afrika Kusini wa kutoa fursa kwa watu kuweza kulala kwa siku moja kwenye jela alimofungwa rais wa kwanza mweusi nchini humo Nelson Mandela huko Robben Island. Shirika moja linafanya mnada huo wa kuanzia dola 250,000 kuruhusu watu 67 kulala kwa siku moja ndani ya gereza la ulinzi mkali ambapo Mandela alifungwa kwa miaka 18 kati ya miaka 27 ya kifungo chake. Warsha hiyo inaandaliwa na kundi linalofahamika kama CEO Sleepout, kuadhimisha siku ambayo Mandela ambaye alifariki mwaka...

1
556
0
Thursday, 05 July 2018