mangweir

Bado Tunakukumbuka Albert Mangweir
Local News

Leo wanamuziki na wadau wa burudani nchini Tanzania wanakumbuka miaka mitano ya kifo cha msanii wa miondoko ya kufokafoka Albert Mangwair. Mangwair ambaye alikuwa mmoja ya wasanii nguli nchini alizaliwa Novemba 16 1982 mkoani Mbeya na kufariki Mei 28 2013 nchini Afrika Kusini. Efm bado tunaendelea kumkumbuka kwa mchango wake katika kuinua...

Like
992
0
Monday, 28 May 2018