mavugo

Mavugo Afunguka Mstakabali wake na Klabu ya Simba
Sports

Mshambuliaji wa Simba, Mrundi Raudit Mavugo ameongea na #SportsHQ, ambapo amefunguka na kueleza kuwa mkataba wake na klabu yake unamalizika Julai 7 2018. Wakati mkataba wake ukielekea kumalizika, Mavugo amesema Timu nyingi zinamtaka zikiwemo Yanga Sc, Singida United, Gor mahia, na Fc Leopard  zinazomuwinda hivi sasa kwa ajili ya kukiboresha kikosi chake. Mbali na kuhusishwa na Simba, Mavugo pia amesema ataendelea kuitumikia klabu hiyo kutokana na namna ilivyomlea tangu ajiunge na wekundu hao wa Msimbazi endapo watamuongezea mkataba mwingine....

Like
1203
0
Wednesday, 13 June 2018