Meya wa Ubungo

Mstahiki Meya Wa Manispaa Ya Ubungo, Mhe Boniface Jacob, Aelezea Mipango wa Kuwawezesha, Wananchi wa Manispaa Ya Ubungo
Local News

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Mhe Boniface Jacob kwenye kipindi cha Joto la Asubuhi kinachorushwa kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia Saaa 12 hadi saa 3 Asubuhi leo tarehe 22,Mei, 2018 amefafanua kwa kina Miradi ya maendelea iliyoanzishwa, katika Manispaa yake. Miongoni mwa miradi hiyo ni pamoja na mradi wa maendeleo kwa Wanawake na Vijana ambapo alisema mradi huo unaendelea vizuri hivyo amewataka vijana ambao ni wakazi wa Manispaa hiyo wajitokeze kuomba mikopo kwa sababu hadi sasa idadi ya...

Like
772
0
Tuesday, 22 May 2018