mgambo

Mwanamgambo aliyejaribu kumpindua Fidel Castro afariki
Local News

Luis Posada Carriles, mzaliwa wa Cuba na ajenti za zamani wa CIA ambaye alitumia miaka yake mingi akijaribu kuipindua serikali ya kikomunisti ya Cuba amefarikia huko Florida akiwa na miaka 90. Bw Posada Carriles alikuwa mmoja wa maadui wakubwa wa rais wa zamani wa Cuba Fidel Casto. Alishiriki katika uvamizi ulioungwa mkono na Marekani mwaka 1961 na analaumiwa kwa kuiangusha ndege ya abiria. Huku akitajwa kuwa gaidi nchini Cuba alionekana kama shujaa miongoni mwa raia wengi wa Cuba waliokuwa uhamishoni....

Like
557
0
Thursday, 24 May 2018