mganga

Mganga aliyedai kuwa na nguvu za kuzuia risasi apigwa risasi na kufariki Nigeria
Global News

Mganga mmoja nchini Nigeria amefariki baada ya mteja wake kujaribu iwapo ana nguvu za kuzuia risasi kuingia mwilini mwake kama alivyodai. Chinaka Adoezuwe , 26, aliuawa baada ya kumuagiza mteja wake kumpiga risasi alipokuwa akivaa nguvu hizo za kuzuia risasi katika shingo yake. Maafisa wa polisi katika jimbo lililopo kusini mashariki la Imo wanasema kuwa mteja huyo sasa amekamatwa kwa madai ya mauaji Nguvu za uganga ni maarufu nchini Nigeria , ambapo waganga huombwa kuwatibu raia magonjwa tofauti. Lakini kumekuwa...

1
718
0
Friday, 06 July 2018