mgomo wa daladala

Madereva wa Daladala Mwanza Wagoma Kutoa Huduma ya Usafiri
Local News

Mwanza Madereva wa Daladala wanaofanya safari zao Airpot Nyashishi na Kisesa Nyashishi wilayani Misungwi wamelazimika kugoma baada ya Sumatra kuongeza ruti bila kuongeza nauli. Madereva hao wamelalamikia kitendo hicho kwakuwa ruti iliyopangwa sumatra haijatoa bei elekezi nauli itakuwa sh Ngapi, kutokana na umbali. Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza Anthon Bahebe ameliomba Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani pamoja na mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa Majini na nchi kavu sumatra kusimamia suala hilo ili...

Like
564
0
Thursday, 29 March 2018