mo salah

no-cover
Sports

STAA wa Misri, Mohamed Salah, atakosa mchezo mmoja tu wa Kombe la Dunia baada ya hapo atakuwa fiti. Salah aliumia bega kwenye mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid baada ya kuumizwa na Sergio Ramos.   Hata hivyo, kulikuwa na hofu kuwa staa huyo atashindwa kucheza fainali hizo lakini sasa imefahamika kuwa atakwenda na kukosa mchezo mmoja tu kwa kuwa kuanzia leo atakuwa nje kwa wiki tatu tu. Shirikisho la Soka la Misri, limesema kuwa...

Like
1514
0
Friday, 01 June 2018