mohamed salaha

MOHAMED SALAH MCHEZAJI BORA WA MSIMU 2018/17  LIGI YA UINGEREZA
Sports

Nyota wa Liverpool, Mmisri, Mohamed Salah ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Mwanasoka bora wa England kwa msimu wa 2017/18. Tuzo hiyo maarufu kama ‘PFA Player of the Year’ ameitwaa Salah kutokana na kuonesha kiwango kizuri msimu huu ambapo amefunga jumla ya mabao 31 kwenye ligi. Jumla ya michezo 46 Salah ameichezea Liverpool msimu huu katika mashindano yote huku akifunga idadi ya mabao 41 na akitengeneza nafasi za kufunga 13. Mchezaji mwingine aliyekuwa anawania tuzo hiyo ni Kevin De Bruyne...

Like
624
0
Monday, 23 April 2018