msiba

Habari kwa Picha Kuaga Miili ya Wapendwa Wetu Maria na Consolata
Local News

Mamia ya watu wamejitokeza katika ibada ya kuwaaga miili ya wapendwa wetu Maria na Consolata katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Ruaha-RUCU ambapo ibada maalumu ya kuwaaga mapacha hao imefanyika. Baada ya ibada kutakuwa na maandamano ya kuelekea katika makaburi ya Tosamaganga ambapo ndipo miili yao itakapopumzishwa. Ibada hiyo imehudhuriwa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Joyce Ndalichako na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu atayeshughulikia masuala ya Watu wenye ulemavu, Stella...

Like
943
0
Wednesday, 06 June 2018