MSKITI RWANDA

ADHANA IMEPIGWA MARUFUKU KIGALI RWANDA, INASUMBUA WANANCHI
Global News

Marufuku ya matumizi ya adhana{ Wito kwa Waislamu kuhudhuria maombi} katika tarafa moja ya mji wa Kigali nchini Rwanda imepingwa vikali na baadhi ya Waislamu jijini humo. Utawala katika tarafa ya Nyarugenge kunakopatikana jamii kubwa ya Waislam nchini humo umebainisha kuwa kumekuwepo muafaka wa kubadili mbinu za kuwaita waumini bila ya matumizi ya njia hiyo ambayo inatajwa kuwasumbua wananchi. Kulingana na taarifa kutoka Kigali Waislamu kuhudhuria maombi umetajwa kuwa kero miongoni mwa wananchi. Tayari mkataba wa kuhakikisha kuwa mwafaka huo...

Like
443
0
Thursday, 15 March 2018