Mtibwa

BAADA YA CAF KUITAKA MTIBWA ILIPE DOLA 15,000, UONGOZI WAKE WASEMA HAWAKO TAYARI KULIPA
Sports

Shirikisho la soka nchini (TFF), kupitia kwa Katibu mkuu wake Kidao Wilfred leo wameweka wazi kuwa, wanalishughulikia suala la faini waliyopigwa Mtibwa Sugar na CAF na watahakikisha timu hiyo inashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho barani Africa. Akizungumza na wanahabari leo, Kidao amesema suala la Mtibwa Sugar na faini waliyopigwa na CAF mwaka 2003 ya dola za Kimarekani 15000, wanalifanyia kazi na watajitahidi kuhakikisha faini hiyo inalipwa kabla ya Julai 20 ili timu hiyo iweze kushiriki. Mwaka 2003, Mtibwa Sugar...

Like
507
0
Thursday, 05 July 2018