MUHAS

Tanzia: Profesa wa Upasuaji Chuo Kikuu Muhimbili Afariki Dunia
Local News

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. Adrea Pembe anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Leonard Lema kilichotokea leo asubuhi tarehe 18 Juni 2018 katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Prof. Lema alikuwa ni Profesa katika Idara ya Upasuaji katika Skuli ya Tiba MUHAS. Wakati wa uhai wake, Prof. Lema ametumikia Chuo katika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwa Mkuu wa Idara ya Upasuaji mwaka 2003 mpaka 2006. Profesa Lema pia aliwahi kuwa...

Like
1016
0
Monday, 18 June 2018