Museven

Rais wa Uganda Museveni anakanusha kwamba Bobi Wine amejeruhiwa
Local News

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu afya ya mbunge huyo aliyekamatwa na vikosi vya usalama nchini, Museveni amevishutumu vyombo vya habari kwa kile alichokitaja ni kueneza habari zisizo za kweli kuhusu suala hilo. Kulingana na ripoti mbalimbali za vyombo vya habari mbunge huyo ambaye pia ni msanii, Robert Kyagulanyi ana matatizo ya figo ambayo yanahitaji kutibiwa ipasavyo na madaktari bingwa waliobobea katika kutiba sehemu nyeti kama hizo...

Like
561
0
Monday, 20 August 2018