ndalichako

Ndalichako aagiza Ofisa manunuzi wa Wizara kusimamishwa kazi
Local News

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Joyce Ndalichako, amemtaka katibu Mkuu wa wizara hiyo, Leonard Akwilapo kumsimamisha kazi Ofisa manunuzi wa wizara Audifasy Myonga kwa kufanya manunuzi ya vifaa vya maabara visivyo hitajika na kuvisambaza katika vyuo vya ualimu. Ndalichako ametoa maamuzi hayo leo Julai 12, alipotembelea chuo cha ualimu Kasulu, mkoani Kigoma na kufanya kikao na watumishi kwa lengo la kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili. Alisema chuo hicho kilipokea vifaa hivyo ambavyo viko chini ya kiwango huku...

Like
478
0
Thursday, 12 July 2018