Nigeria

Ghasia Nigeria: Watu wauawa katika shambulio la wanamgambo jimboni Borno
Global News

Watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wenye itikadi kali za dini ya kiislamu wamekivamia kijiji kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuwaua watu kadhaa. Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu idadi ya vifo vya watu huko Mailari, katika jimbo la Borno. Kiongozi mmoja wa sungu sungu katika eneo hilo ametaja kuwa ni watu 6 waliouawa lakini jamaa mmoja aliyeponea shambulio hilo ametaja kuwa ni watu 19 waliouawa. Wanamgambo hao walikivamia kjiji hicho na kuwapora wakaazi kwa saa mbili kabla ya kuondoka, shahidi mmoja alisema....

Like
509
0
Monday, 20 August 2018
WANAFUNZI WA KIKE 110 WAACHIWA NA BOKO HARAM
Global News

...

Like
600
0
Wednesday, 21 March 2018