PEP GUARDIOLA

PEP GUARDIOLA KOCHA BORA LIGI KUU UINGEREZA, AWABWAGA MAKOCHA WENZAKE
Sports

Kocha wa Mabingwa Ligi Kuu Uingereza, Pep Guardiola ameshinda tuzo ya Kocha Bora wa Ligi Kuu England kufuatia kuiwezesha Manchester City kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu nchini humo na kuwashinda Makocha wenzake walikuwepo kwenye Kinyang’anyiro hicho ambao ni Roy Hogson wa Crystal Palace, Jurgen Klopp wa Liverpool, Chris Hughton wa Brighton, Rafael Benitez wa Newcastle United na Sean Dyche wa Burnley. Guardiola ameisaidia City kufikisha pointi 100 msimu huu pamoja na kushinda jumla ya mechi 32 huku akipoteza michezo miwili...

Like
577
0
Wednesday, 16 May 2018