pepe guardiola

Yaya Toure: ‘Guardiola Anawachukia na kuwaonea Wivu Wachezaji wa Afrika
Sports

Mkufunzi wa klabu ya Manchester City Pep Guardiola ana matatizo na Waafrika , kulingana na aliyekuwa kiungo wa kati wa timu hiyo Yaya Toure. Raia huyo wa Ivory Coast ambaye aliondoka City mwezi Mei baada ya kuhudumu kwa kipindi cha miaka minane katika klabu hiyo anasema kuwa anataka kuvunja mtazamo wa Guardiola ambaye amemtaja kuwa mwenye wivu. ”Pengine sisi Waafrika hatuchukuliwi kama wengine wanavyochukuliwa”, alisema Toure katika mahojiano na soka ya Ufaransa. Klabu ya Uingereza ya Man City imekataa kuzungumzia...

Like
625
0
Tuesday, 05 June 2018