Rage

RAGE AWACHANA NA KUWAPA USHAURI CECAFA, AWAKINGIA KIFUA YANGA
Sports

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amewashauri CEFACA kutoyachukulia mashindano ya KAGAME kama bonanza na badala yake yafuate ratiba. Rage ambaye aliwahi kuiongoza Simba kabla ya ujio wa utawala wa Evans Aveva, amewashauri CECAFA kupitia Katibu Mkuu wake, Nicholas Musonye wajipange upya ili kuondoa mkanganyiko kwa klabu za ukanda wa Afrika Mashariki. Kwa mujibu wa Radio EFM, auli ya Rage imekuja kufuatia baadhi ya klabu kujiondoa kutokana na ratiba ambayo haikuwa si rafiki kwao ikiwemo Yanga...

Like
628
0
Friday, 06 July 2018