Raila Odinga

WAKILI ALIYEMUAPISHA RAILA ODINGA AZUHIRIWA UWANJA WA NDEGE
Slider

Wakili wa upinzani aliyeidhinisha kiapo cha Bw Raila Odinga alipokuwa anajiapisha kuwa ‘Rais wa Wananchi’ mwezi Januari bado amekwama katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi. Bw Miguna Miguna alijaribu kurejea Kenya Jumatatu lakini akazuiwa kuingia baada yake kudaiwa kutowasilisha pasipoti ya Canada ambayo ilitumiwa kumsafirisha kwa nguvu hadi Canada. Wakili huyo alisisitiza kwamba ni raia wa Kenya na hafai kuzuiwa kurejea. Taarifa zinasema Bw Miguna, ambaye pasipoti yake ya Kenya ilitwaliwa na polisi kabla ya kuondolewa...

Like
441
0
Tuesday, 27 March 2018