rooney

Rooney Atimka Everton, Akimbilia Marekani
Sports

Aliyekuwa mshambuliaji wa Everton, Wayne Rooney (32) amesaini kandarasi ya miaka mitatu na nusu kuitumikia Klabu ya DC United inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Marekani. Rooney ambaye atakamilisha uhamisho wake huo wakati dirisha la usajili litakapofunguliwa Julai 10 mwaka huu, atalipwa mkwanja kiasi cha Pauini Milioni 10 (sawa na Tsh. Bilioni 26.47) ambapo atakuwa ni mchezaji mwenye kulipwa pesa ndefu zaidi nchini Marekani. Rooney ambaye anashikilia rekodi ya mfungaji Bora wa muda wote wa Manchester United na Uingereza amekatisha mkataba...

Like
483
0
Friday, 29 June 2018