Rwanda

Rwanda Yaanza Kutengeneza Magari ya Volkswagen
Global News

RAIS Paul Kagame amezindua kiwanda kipya cha Kampuni maarufu ya Magari ya Volkswagen nchini Rwanda, leo Juni 27, 2018ambapo uzalishaji wa magari hayo umeanza rasmi nchini humo. Kampuni hiyo maarufu ya kutengeneza magari yenye makao yake makuu nchini Ujerumani, imeamua kuwekeza nchini Rwanda ili kuwarahishia wateja wake upatikanaji wa bidhaa hiyo, kukuza soko lao Afrika Mashariki, Kati na Afrika nzima. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo ulioendana na kuzindua gari la kwanza lililotengenezwa na kiwanda hicho cha Volkswagen nchini Rwanda, Kagame...

Like
651
0
Wednesday, 27 June 2018